Paul Paul Sospeter

Paul Paul Sospeter

Pay

TSh 720,000

Training and Mentorship 6 months

THE PROFESSIONAL TRADER PROGRAM™Kutoka Kutokuelewa Soko hadi Kufanya Trading Execution

Acha kubahatisha. Anza kulielewa soko.

The Professional Trader Program™ ni programu kamili ya mafunzo ya Forex inayokufundisha kuelewa kinachoendelea kwenye soko, kutambua trading opportunities nzuri, na kufanya maamuzi kwa kutumia mpango ulio wazi.

Utaanza na misingi ya Forex — hata kama hujui chochote kuhusu Forex — kisha hatua kwa hatua utajifunza kusoma charts, kuelewa price movement, kutambua trading setups, kusimamia fedha zako, na kufanya trades kwa nidhamu.

NDANI YA PROGRAMU UTAJIFUNZA:1. Kuelewa Forex

Jifunze Forex ni nini, jinsi currencies zinavyosogea, jinsi trades zinavyofanya kazi, pamoja na maneno muhimu ambayo kila trader anapaswa kuyajua.

2. Kusoma Chart

Jifunze kuelewa candles, trends, market structure, support, resistance, na price movement.

3. Kutambua Trading Opportunities

Jifunze kutambua maeneo ambayo soko linaweza kutoa potential trade kwa kutumia technical concepts na trading models zilizothibitishwa.

4. Kujenga Strategy Yako

Jifunze jinsi ya kubadilisha uelewa wako wa soko kuwa mfumo rahisi wenye rules zinazokuambia wakati wa kuingia kwenye trade, mahali pa kuweka Stop Loss, na mahali pa kuchukua profit yako.

5. Kudhibiti Risk Yako

Jifunze jinsi ya kulinda trading account yako, kuhesabu Position Size, kusimamia losses, na kuepuka kuweka risk kubwa kwenye trade moja.

6. Ku-control Mindset Yako

Jifunze jinsi fear, greed, FOMO, revenge trading, na impatience zinavyoweza kuharibu maamuzi mazuri — na jinsi ya kujenga trading habits bora.

7. Test Kabla ya Kuamini

Jifunze kufanya backtest ya strategy yako, kukusanya results, kugundua weaknesses, na kuboresha system yako kabla ya kuweka serious money kwenye market.

8. Ku-execute Kama Professional

Jifunze jinsi ya kujiandaa kwa ajili ya market, kusubiri setup yako, kufuata rules zako, kusimamia trade yako, na kufanya review ya results zako.

NINI KINAIFANYA HII PROGRAMU KUWA TOFAUTI?

Hatutakufundisha kutegemea signals.

Hatutakuambia unakili trades za mtu mwingine.

Tunakufundisha jinsi ya kufikiri na kufanya maamuzi yako mwenyewe.

LENGO NI RAHISI:Understand → Analyse → Plan → Execute → Review → Improve

Elewa → Chambua → Panga → Execute → Fanya Review → Boresha

Mwisho wa programu, hutakuwa unajua tu maneno ya Forex.

Utaelewa unachoangalia kwenye market, kwa nini unaingia kwenye trade, unaweka risk kiasi gani, na ni wakati gani ni bora kutokufanya trade.

THE PROFESSIONAL TRADER PROGRAM™Jifunze Kusoma Soko.Jifunze Kujenga Mpango Wako.Jifunze Kutrade kwa Nidhamu.

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP

Secured by Snippe