Nasri Ramadhan

Nasri Ramadhan

Pay

TSh 0

Nasri Ramadhan

Nasri Ramadhan

Visibility & Career Development Professional | Author

Nasaidia vijana na professionals kuelewa workplace, kujenga career yenye nidhamu, na kufanya maamuzi sahihi kazini.

JY

JINSI YA KUISHI KAZINI

TSh 9,999·82 in stock
JINSI YA KUISHI KAZINI ni mwongozo wa vitendo kwa vijana na professionals wanaotaka kujua jinsi ya kuishi, kufanya kazi na kukua kazini. Kitabu kinakufundisha kujenga professionalism, trust na reputation, kuelewa contract na notice period, kuepuka makosa yanayoweza kuharibu career yako, kuishi na boss na colleagues, pamoja na jinsi ya kuacha kazi professionally bila kujiharibia future yako.
N-

NIAJIRI - Jinsi ya kutafuta, kuomba na kupata Ajira Tanzania

TSh 10,000·96 in stock
NIAJIRI — Mfumo Kamili wa Kupata Ajira Tanzania. Umechoka kutuma CV bila majibu? NIAJIRI itakuonesha jinsi ya kujipanga, kuandaa CV, kuomba kazi kwa mkakati, kujenga networking, kujiandaa kwa interview na kuepuka utapeli. Unapata Ebook, ATS CV Guide, Cover Letter Templates, maswali 30+ ya interview, Job Application Tracker, Networking Templates na 30-Day Job Search Plan. Anza mchakato wako kwa mfumo, sio kwa bahati nasibu.

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP

Secured by Snippe