MWALIMU HEMEDI

MWALIMU HEMEDI

Pay

TSh 0

MWALIMU HEMEDI BOOKS

Uwekezaji mkubwa zaidi unaoweza kuufanya leo ni kwenye akili na maarifa yako.

Hapa ndipo safari yako ya mabadiliko inaanzia.

Mimi ni Mwalimu Hemedi, na kupitia uzoefu, utafiti, na mikakati iliyothibitishwa, nimekusanya na kuandika vitabu hivi vya kipekee vitakavyobadilisha mtazamo wako wa kifedha, biashara, na uzalishaji mali milele.

Kwa Nini Vitabu Hivi Ni Vya Kipekee Kwako?

Kila kitabu kimeandikwa kwa lugha rahisi, yenye mifano halisi na mikakati ya moja kwa moja (practical steps) unayoweza kuanza kuitumia leo hii kupata matokeo.

GUSA JINA LA KITABU KUONA MAELEZO YAKE.

GUSA ALAMA YA JUMLISHA (+) ILI KUCHAGUA KITABU UNACHOTAKA KULIPIA NA BAADA YA KULIPIA UTATUMIWA KITABU WHATSAPP MUDA HUOHUO.

JK

JIINGIZIE KIPATO MTANDAONI KUPITIA BLOG

TSh 3,000·Available
Gundua jinsi ya kugeuza muda wako wa mtandaoni kuwa mashine ya kutengeneza pesa isiyolala. Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha blog yenye mafanikio na utengeneneze kipato cha kudumu.
JM

JIAJIRI- MWONGOZO KWA WANAOTAKA KUJIAJIRI

TSh 3,000·Available
Jifunze misingi ya kusimama mwenyewe, kuwa bosi wako mwenyewe, na kujenga mfumo wa maisha unaokupa uhuru wa kifedha na muda.
BN

BIASHARA NDOGONDOGO

TSh 3,000·Available
Mtaji mdogo sio kikwazo cha mafanikio. Kitabu hiki kinakufunua macho kuona fursa zilizopo karibu yako na jinsi ya kukuza mtaji mdogo kuwa biashara kubwa inayostahimili ushindani.
UK

UTHUBUTU KUELEKEA MAFANIKIO

TSh 3,000·Available
Hofu ndiyo adui mkubwa wa mafanikio. Vunja minyororo ya mashaka na uijaze akili yako ujasiri wa kuchukua hatua madhubuti zitakazokuvusha kutoka kwenye mipango hadi kwenye matokeo halisi.
BY

BIASHARA YA STATIONERY - Mwongozo Kamili wa Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Stationery

TSh 3,000·Available
Watu wengi wanaotamani kufungua stationery hupoteza pesa kwa sababu wanaanza bila mwongozo sahihi. Kitabu hiki kinakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha, kuendesha na kukuza biashara ya stationery kwa ufanisi, hata kama una mtaji mdogo. Kwa punguzo la 70%, leo unakipata kwa TSH 3,000 tu badala ya TSH 10,000.

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP

Secured by Snippe