Magehema digital Entrepreneurship system

Magehema digital Entrepreneurship system

Pay

TSh 0

MdesDigiStore27

🔥 MDES DIGITAL BOOKS — JIFUNZE. TUMIA. JENGA. PATA KIPATO.

📚 Vitabu vya vitendo vinavyokusaidia kutumia AI, simu, maarifa na ujuzi kujenga fursa katika uchumi wa kidigitali.

1. MSHAHARA WAKO WA PILI — TSh 20,000 💰📱

Jinsi ya Kujenga Chanzo cha Pili cha Kipato kwa Kutumia Ujuzi, Simu na Fursa za Kidigitali.

Mshahara wako unaisha kabla mwezi haujaisha? Kitabu hiki kinakusaidia kutambua fursa, kutumia ujuzi ulio nao na kujenga chanzo cha ziada cha kipato bila kuacha kazi yako.

Utajifunza:

✅ Kutambua fursa za kipato

✅ Kubadilisha ujuzi kuwa thamani

✅ Fursa katika uchumi wa kidigitali

✅ Kuanza hatua kwa hatua

✅ Kujenga kipato cha ziada

🎯 Usimtegemee mshahara mmoja pekee. Jenga chanzo chako cha pili.

2. AI MONEY BLUEPRINT — TSh 10,000 🤖💰

Geuza AI Kuwa Msaidizi Wako wa Kutengeneza Kipato.

AI inabadilisha namna tunavyofanya kazi, kuuza na kujenga biashara. Mwongozo huu unakuonyesha namna ya kutumia AI kutengeneza fursa za kipato mtandaoni.

Utajifunza:

✅ Fursa za kipato kwa AI

✅ Kuongeza productivity

✅ Mawazo ya biashara yanayotumia AI

✅ Kutengeneza content na digital products

✅ Kuanza kutumia AI kwa vitendo

📱 Huhitaji kuwa mtaalamu wa teknolojia. Jifunze kuitumia.

3. JINSI YA KUANZA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA AKILI UNDE (AI) NDANI YA SIKU 7 — TSh 5,000 🚀

Mwongozo mfupi na wa vitendo kwa anayetaka kuanza kutumia Akili Unde (AI) kujenga fursa za kipato.

Ndani ya siku 7 utajifunza:

✅ AI ni nini na inavyokusaidia

✅ Fursa za kipato kwa AI

✅ Kutumia AI kama msaidizi

✅ Kuunda bidhaa na huduma

✅ Kuchukua hatua za kwanza

🎯 Usisubiri ujue kila kitu. Anza kujifunza na kufanya.

4. ACCOUNTING & FINANCE AI AUTOMATION PLAYBOOK — TSh 30,000 📊🤖

Use AI in Accounting Without Losing Control.

Mwongozo wa vitendo kwa accounting & finance professionals wanaotaka kutumia AI kuongeza efficiency bila kupoteza control, accuracy na quality.

Utajifunza:

✅ AI katika accounting & finance

✅ Automation ya kazi zinazojirudia

✅ Kuongeza productivity

✅ Kupunguza muda wa kazi

✅ Kudhibiti accuracy na quality

✅ Kujenga AI-powered finance workflows

🎯 Tumia AI kufanya kazi kwa ufanisi zaidi—bila kupoteza control.

5. HOW TO START MAKING MONEY USING ARTIFICIAL INTELLIGENCE (AI) IN 7 DAYS — TSh 5,000 🚀

Mwongozo rahisi na wa vitendo wa kuanza kutumia AI kujenga fursa za kipato ndani ya siku 7.

Utajifunza:

✅ AI ni nini na inaweza kukusaidiaje

✅ Fursa za kipato kwa AI

✅ Tools za kuanzia

✅ Kutengeneza value kwa AI

✅ Kuanza bila mtaji mkubwa

💡 Don't just learn about AI. Learn to use it.

👉 Get your copy and start your 7-day AI income journey.

6. TURN AI SKILLS INTO REAL INCOME — TSh 12,000 🔥

A Practical Guide to Becoming the AI Director in Just 30 Days.

Kujua AI ni hatua ya kwanza. Mwongozo huu unakusaidia kubadilisha AI skills kuwa value, services na income opportunities.

Utajifunza:

✅ Kujenga AI skills zinazoweza kutumika kibiashara

✅ Kutatua matatizo halisi kwa AI

✅ Kuunda huduma zinazotumia AI

✅ Kuongeza productivity

✅ Kujenga mfumo wa kujifunza na kufanya

✅ Kuelekeza AI kwenye shughuli zako

🎯 Don't just use AI. Direct it. Apply it. Create value with it.

7. SIMU YAKO NI STUDIO — TSh 7,000 🎥📱

Una smartphone lakini unaona unahitaji kamera ghali au computer ili kutengeneza content bora?

Simu Yako ni Studio inakuonyesha namna ya kutumia smartphone yako kama kituo cha content creation.

Utajifunza:

✅ Kutengeneza video

✅ Kutengeneza social media content

✅ Kuhariri materials

✅ Kujenga personal brand

✅ Kutengeneza content bila vifaa vya gharama kubwa

✅ Kutumia technology uliyonayo

💡 Studio haianzi na chumba kikubwa. Wakati mwingine inaanzia mfukoni mwako.

🔥 MDES DIGITAL BOOKS

Jifunze. Tumia. Jenga. Pata Kipato.

Vitabu hivi vimeandaliwa kukusaidia kuchukua maarifa na kuyageuza kuwa ujuzi, thamani na fursa.

👉 Chagua kitabu chako leo na anza kuchukua hatua.
SY

Simu yako ni studio

TSh 7,000·Available
si
AM

AI MONEY BLUEPRINT

TSh 10,000·Available
AI Money Blueprint is a practical guide to using Artificial Intelligence to create digital income opportunities. Learn how to turn AI into a powerful business assistant, create and sell digital products, produce content that attracts customers, improve your services, and build online income streams. No coding or advanced AI skills required—just a smartphone, internet access, and the willingness to take action. Learn AI. Build Digital. Create Income.
JY

Jinsi ya Kuanza Kutengeneza Pesa kwa Kutumia Akili Unde (AI) Ndani ya siku 7 tu

TSh 5,000·Available
Je, simu yako inaweza kuwa chanzo cha kipato? Ndiyo! AI inaweza kukusaidia kuanza leo.Kitabu hiki ni mwongozo wa vitendo unaokuonyesha jinsi ya kutumia AI, simu na internet kutengeneza maudhui, bidhaa za kidijitali, huduma na fursa za biashara—hata kama wewe ni mwanzilishi.Huhitaji kuwa mtaalamu. Anza na ulicho nacho, jifunze, tumia AI, tengeneza thamani na anza kujenga kipato chako kidijitali.Siku 7. Hatua 7. Mwanzo mmoja. Geuza simu yako kuwa fursa. Anza leo!
MW

Mshahara wako wa pili

TSh 20,000·Available
Mshahara Wako wa Pili ni mwongozo wa vitendo wa siku 60 unaokuonyesha jinsi ya kutumia simu yako, ujuzi na muda wa dakika 60–90 kwa siku kujenga chanzo cha pili cha kipato—hadi TZS 2,500,000 kwa mwezi. Jifunze njia 5 za kutengeneza pesa mtandaoni, kupata wateja wa kwanza, kuongeza mauzo, kujenga mfumo wa wateja na kusimamia kipato chako. Hiki si kitabu cha utajiri wa haraka—ni ramani ya kujenga kipato kinachokua bila kuacha kazi yako
GK

Geuza kuperuzi kuwa kipato

TSh 8,500·Available
YP

Your Phone Is a Studio — AI Video & Faceless Content

TSh 12,000·Available
Turn your phone into a practical content studio. This English guide shows you how to use AI, faceless video, scripts and simple systems to create valuable content, grow an audience and build income opportunities—without expensive equipment or showing your face. Includes practical exercises, content frameworks and a clear path from idea to publishing.
JY

Jinsi ya kutumia AI kama msaidizi wako

TSh 7,000·Available
Jinsi ya kutumia AI Kama msaidizi AI si chatbot tu—ni msaidizi wa kazi, biashara na maisha. Kitabu hiki kinakuonyesha jinsi ya kutumia AI kwa ufanisi: kuandika, kutafiti, kupanga, kutengeneza maudhui, kutatua changamoto na kuongeza uzalishaji. Utajifunza kuandika prompts bora na kuigeuza AI kuwa msaidizi wako wa kila siku, huku ukigundua fursa mpya za kujenga kipato kupitia teknolojia.
KU

kubadilisha ujuzi wa AI kuwa kipato

TSh 8,000·Available
Je, unatumia AI lakini bado hupati matokeo mazuri? Kitabu hiki kinakufundisha jinsi ya kuielekeza AI kwa usahihi, kutumia prompts bora, kujenga mifumo ya kazi, kuunda huduma na kubadilisha ujuzi wa AI kuwa thamani kwa biashara na wateja. Jifunze kutoka kuuliza tu hadi kuwa Mkurugenzi wa AI kupitia mifano ya vitendo, hatua rahisi na mpango wa siku saba wa kuanza kutumia ujuzi huu katika kazi na biashara yako.
TA

turn AI skills into Real income; a practical guide to becoming the AI Director in just 30 days

TSh 12,000·Available
HT

how to start making money using Artificial Intelligence (AI) in7 days; a simple practical guide for every with a smartphone.

TSh 5,000·Available
A practical seven-day guide for beginners who want to use AI tools on a smartphone to choose an opportunity, create a sample, find prospects, make a professional offer, and build a repeatable system for useful work.Important note: AI can help you work more efficiently, but results depend on your skills, effort, market, customer needs, and responsible use of the tools. No income outcome is guaranteed.
A&

Accounting & Finance AI Automation Playbook. Use AI in accounting without losing control

TSh 130,000·Available
Accounting & Finance AI Automation PlaybookA practical AI playbook for accountants, CPAs, bookkeepers, controllers, and finance managers. Get ready-to-adapt prompts and controlled workflows for financial analysis, invoice processing, anomaly detection, reporting, privacy, compliance, and multi-step finance automation.

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP

Secured by Snippe