Pay
TSh聽0
MAKEMBA SAMAKI TECH
JE, UNATAFUTA MAARIFA YA KUBORESHA MAISHA NA UCHUMI WAKO?
Karibu Makemba Samaki Tech!
Tumekuandalia mkusanyiko wa nakala za kidijitali (Soft Copy) za vitabu na machapisho mbalimbali vitakavyokusaidia kupata maarifa ya vitendo ya kuboresha maisha, kuongeza kipato na kujenga uchumi wako.
Kupitia vitabu hivi utaweza kujifunza kuhusu:
- Kuanzisha na kukuza biashara yenye faida.
- Kuongeza kipato kupitia ufugaji wa samaki na mifugo.
- Kujenga ujasiriamali na kutambua fursa mbalimbali.
- Kusimamia fedha, mikopo na uwekezaji kwa ufanisi.
- Kuboresha lishe, afya na maisha ya familia.
- Kujenga mahusiano bora na maendeleo binafsi.
Jinsi ya kununua kitabu:
1. Chagua kitabu unachohitaji.
2. Bofya Add to Cart kwenye kitabu husika.
3. Jaza namba yako ya WhatsApp na Email.
4. Kamilisha malipo.
Baada ya malipo kuthibitishwa, utapokea ujumbe wa WhatsApp kutoka Neurotech Africa wenye link ya kupakua nakala ya kidijitali (Soft Copy) ya kitabu chako. Unaweza kukihifadhi kwenye simu, Google Drive au kompyuta na kusoma wakati wowote.
Wekeza kwenye maarifa leo ili ujenge kipato, maisha na kesho yako bora.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi:
Makemba Samaki Tech
馃摓 +255 745 026 287
馃摓 +255 678 940 570
馃搷 Dar es Salaam, Tanzania
KSKITABU: SAFARI YA MFUGAJI KUTOKA MWANZO HADI MAFANIKIO
TSh聽10,000路998 in stock
KITABU: SAFARI YA MFUGAJI KUTOKA MWANZO HADI MAFANIKIO
KMKITABU: MSTAAFU TAJIRI
TSh聽10,000路1000 in stock
KITABU: MSTAAFU TAJIRI
KMKITABU: MCHUMBA SAHIHI
TSh聽10,000路999 in stock
KITABU: MCHUMBA SAHIHI
KLKITABU: LISHE NI TIBA
TSh聽10,000路998 in stock
KITABU: LISHE NI TIBA
KNKITABU: NDOA ZAIDI YA SHEREHE
TSh聽10,000路1000 in stock
KITABU: NDOA ZAIDI YA SHEREHE
KKKITABU: KUFANIKISHA BILA KUVUNJA UHUSIANO
TSh聽10,000路1000 in stock
KITABU: KUFANIKISHA BILA KUVUNJA UHUSIANO
KKKITABU: KOPA KWA BUSARA JENGA UTAJIRI
TSh聽10,000路1000 in stock
KITABU: KOPA KWA BUSARA JENGA UTAJIRI
KWKITABU: WATEJA WA UHAKIKA
TSh聽10,000路1000 in stock
KITABU: WATEJA WA UHAKIKA
KKKITABU: KUTOKA MFANYAKAZI HADI BOSS
TSh聽10,000路1000 in stock
KITABU: KUTOKA MFANYAKAZI HADI BOSS
BCBOOK: COMMERCIAL FISH FARMING (Nile Tilapia and Catfish)
TSh聽10,000路1000 in stock
BOOK: COMMERCIAL FISH FARMING (Nile Tilapia and Catfish)
KEKITABU: ELIMIKA KATIKA UFUGAJI WA SAMAKI
TSh聽10,000路996 in stock
KITABU: ELIMIKA KATIKA UFUGAJI WA SAMAKI
KKKITABU: KILIMO CHENYE FAIDA |MAZAO YA MUDA MFUPI NA BIASHARA
TSh聽10,000路999 in stock
KITABU: KILIMO CHENYE FAIDA |MAZAO YA MUDA MFUPI NA BIASHARA
KKKITABU: KILIMO HAI CHA SAMAKI
TSh聽7,000路995 in stock
KITABU: KILIMO HAI CHA SAMAKI
Supported payment providers
Secured by Snippe