Simulizi Na Video

Simulizi Na Video

Pay

TSh 0

Mafunzo Ya Kutengeneza Video za AI

🚀 MAFUNZO KABAMBE: JINSI YA KUTENGENEZA VIDEO ZA AI ZA KIWANGO CHA JUU!

Je, unatamani kutengeneza video za AI za kuvutia bila kuonyesha uso wako? Au unataka ujuzi utakaokuingizia kipato kwa kutengeneza content na matangazo kupitia simu yako?

Uko sehemu sahihi! Kozi hii ni kwa ajili yako—iwe ni unaanza au unataka kuboresha ujuzi wako wa kukuza followers na mauzo kwa kasi.

💡 KWA NINI UJIUNGE LEO? Hutafundishwa nadharia tu; utajifunza kwa vitendo vya hatua kwa hatua (Practical Step-by-Step) kwa kutumia zana bora na za kisasa zaidi za AI!

📚 TOPIC ZATAKAZOFUNDISHWA:

🔹 TOPIC 1: UTANGULIZI

  1. Muhtasari wa mafunzo na vitu vyote utakavyojifunza.
  2. Faida za ujuzi wa AI kwenye biashara na mitandao ya kijamii.

🔹 TOPIC 2: ZANA ZINAZOTUMIKA NA MATUMIZI YAKE Utajifunza na kutumia zana 4 kuu zenye nguvu zaidi:

  1. Google Gemini: Uandaaji wa mawazo na Script.
  2. Nano Banana: Uundaji wa Picha na Wahusika (Characters).
  3. Google Flow: Kugeuza Picha na script kuwa Video zenye miondoko.
  4. CapCut: Uhariri wa mwisho, sauti, na madoido.

🔹 TOPIC 3: SANAA YA KUANDIKA PROMPT BORA (PROMPT ENGINEERING)

  1. Wazo Bora & Script: Kupata mawazo yanayotrend na kuandaa mpangilio wa scenes.
  2. Sifa za Prompt Bora: Kuathiri Lighting, Camera Angles, Style, na Consistency (sura ya mhusika isibadilike).
  3. Miondoko Isiyoharibika: Kuandika prompt kwenye Google Flow ili kupata video thabiti.

🔹 TOPIC 4: UTENGENEZAJI WA CONTENT (PRACTICAL STEP-BY-STEP)

  1. Hatua ya 1: Kuandaa Wazo na Script kupitia Google Gemini.
  2. Hatua ya 2: Kutengeneza Picha za Wahusika, Mandhari, na Covers kupitia Nano Banana.
  3. Hatua ya 3: Kugeuza Picha kuwa Video kupitia Google Flow.
  4. Hatua ya 4: Kumalizia na Kuediti Video kupitia CapCut.

🔹 TOPIC 5: HITIMISHO NA STRATEGY ZA BIASHARA

  1. Kuingiza Kipato: Mbinu za kugeuza mafunzo haya kuwa biashara—kupata wateja na kufanya matangazo.

🤝 TUTAKUWA NAWE HATUA KWA HATUA! Ukishalipia na kuanza kujifunza, hutakuwa peke yako. Ukikwama au ukiwa na swali wakati wa masomo, utapata msaada wa moja kwa moja kupitia WhatsApp: 0615194376.

🎁 OFA MAALUM YA LEO (SPECIAL BONUS) Bei halisi ni TSh 35,000/= — Lakini ukichukua hatua LEO, utapata OFA YA PUNGUZO na kulipia TSh 20,000/= TU!

Kumbuka: Ofa hii ya TSh 20,000/= ni ya muda mfupi na kwa idadi ndogo ya wanafunzi. Mara nafasi zikitimia, bei itarudi TSh 35,000/=.

👇 Usisubiri hadi nafasi ziishe au bei ipande—Bonyeza Kitufe Cha Malipo Hapo Chini Kupata Kozi Yako Sasa Hivi!

MY

MAFUNZO YA KUTENGENEZA VIDEO ZA AI

TSh 20,000·Available
🚀 MAFUNZO YA VIDEO ZA AI!Badilisha simu yako kuwa kiwanda cha video za kisasa! Master zana zote 4: Google Gemini (Script), Nano Banana (Picha & Characters), Google Flow (Video Movement), na CapCut (Editing).💡 Utajifunza Prompt Engineering, kutengeneza content zinazotrend.🤝 Hutakuwa peke yako! Tutakuwa nawe hatua kwa hatua. Ukikwama, uliza swali kupitia WhatsApp: 0615194376.🔥 OFA YA LEO: Lipia TSh 20,000/= tu (Badala ya 35,000/=).👇 Bonyeza link kuanza sasa!

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP

Secured by Snippe