LC

LEYMAX CAKES

LEYMAX CAKES

Karibu Leymax Academy

Jifunze kutengeneza keki za kitaalamu kupitia video zetu za mtandaoni. Kozi zetu zinafaa kwa wanaoanza na wanaotaka kuboresha ujuzi wao. Jifunze kwa wakati wako, kutoka popote ulipo.

Jinsi ya Kununua

  1. Chagua kozi unayotaka.
  2. Soma maelezo yake kwa ufupi.
  3. Bonyeza Buy Now na ukamilishe malipo.

Baada ya Malipo

Ukishakamilisha malipo, utatumiwa link ya kozi yako kupitia WhatsApp ili uanze kujifunza mara moja.

馃摓 Msaada zaidi: 0758 285 868

PF

PASSION FRUIT CAKE

TSh聽25,000路Available
"Learn how to bake a soft, moist, and flavorful Passion Fruit Cake with a refreshing tropical taste. This step-by-step course will guide you through creating a perfectly balanced cake that's ideal for any occasion."
LP

LEMON POPPYSEED CAKE

TSh聽25,000路Available
"Learn how to bake a soft, moist, and refreshing Lemon Poppy Seed Cake with a perfect balance of zesty lemon flavor and crunchy poppy seeds. This step-by-step course is ideal for beginners and anyone looking to master this classic cake."
CC

CUSTARD COOKIES

TSh聽15,000路Available
CC

COCONUT COOKIES

TSh聽15,000路Available
VC

VANILLA CAKE COURSE

TSh聽35,000路Available
"Learn how to bake a soft, moist, and delicious vanilla cake from scratch with easy step-by-step instructions. Perfect for beginners and aspiring bakers."
CC

CARROT CAKE

TSh聽15,000路9994 in stock
Carrot Cake Course Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza carrot cake laini, yenye unyevunyevu (moist), na ladha ya kipekee inayopendwa na wateja. Kozi hii inakufundisha kuandaa batter sahihi, kuoka kwa matokeo bora, pamoja na kutengeneza cream cheese frosting inayokamilisha ladha ya carrot cake. Inafaa kwa wanaoanza na wabobezi wanaotaka kuongeza aina ya keki zenye faida kwenye biashara zao.
RV

RED VELVET CAKE

TSh聽35,000路999991 in stock
Learn how to bake a soft, moist, and perfectly balanced Red Velvet Cake from scratch. This course covers ingredient selection, mixing techniques, baking, leveling, filling, and decorating with smooth cream cheese frosting. You'll also learn professional tips for achieving the signature red color, velvety texture, and consistent bakery-quality results for both home baking and business.

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAX

Secured by Snippe