kelvin kibenje

kelvin kibenje

Pay

TSh 0

Kelvin Kibenje

Jinsi ya Kununua

  1. Chagua kitabu/bidhaa.
  2. Bofya (+) kukiongeza.
  3. Chagua njia ya malipo.
  4. Kamilisha malipo.
  5. Pokea ebook yako kupitia WhatsApp na Email.
BN

Biashara na China

TSh 9,000·Available
Unapanga kwenda china, hiki kitabu kitakusaidia kujua hatua zote za kwenda china Kibiashara, kuepuka hasara na kutengeneza faida kubwa
MW

Mfumo Wa Utajiri: Mikakati ya Uwekezaji na UTT-Amis

TSh 9,000·Available
Kupitia kitabu hiki utajifunza kiundani namna uwekezaji unavyoweza kukufanya ukafanikiwa kifedha kwa viwango vya juu sana. Pia utajifunza juu ya uwekezaji kupitia UTT-Amis.
US

Uwekezaji Salama - M-Wekeza

TSh 9,000·Available
UWEKEZAJI MDOGO, MATOKEO MAKUBWA.Kupitia M‑WEKEZA, pesa yako haikai tu — inakua kwa nguvu ya compound interest.Anza kidogo leo, acha muda na riba vifanye kazi yake.Pata kitabu hiki ujifunze namna ya kuifanya pesa ikufanyie kazi. 📚💰
SY

Sayansi Ya Malengo

TSh 9,000·Available
Sayansi ya Malengo sio kitabu cha motisha, ni mwongozo wa kimfumo wa kukufundisha jinsi ya kuweka, kufuatilia na kutimiza malengo kwa kutumia kanuni za saikolojia na nidhamu ya vitendo.Kitabu hiki kinakusaidia kubadili ndoto kuwa mpango, mpango kuwa hatua, na hatua kuwa matokeo yanayopimika.Kama umechoka kuweka malengo kila mwaka bila mafanikio, hiki ni kitabu chako.
EY

Elimu Ya Fedha Na Biashara

TSh 9,000·Available
Jifunze juu ya kutengeza budget, kuepuka mikopo na madeni mabaya, kuongeza mauzo na kukua kibiashara
CT

China To Tanzania - Mbinu na Mikakati ya Kuagiza Bidhaa China Online

TSh 19,000·Available
CHINA TO TANZANIA - Uagizaji China Online ni mwongozo wa vitendo unaokuonyesha jinsi ya kupata bidhaa China, kufanya malipo salama, kusimamia usafirishaji na kuuza kwa faida.Unajifunza kuchagua bidhaa zenye soko, kukokotoa gharama halisi, kuepuka matapeli na kupunguza risk.Ni blueprint ya mtu anayetaka kuagiza kwa mfumo sahihi na kupata faida bila kubahatisha na kutengeneza faida kubwa kwenye soko la Tanzania
FZ

Fursa Za Biashara Na Machimbo eBook

TSh 9,000·Available
Fursa za Biashara na Machimbo ni kitabu kinachokufungua macho kuona pesa zilipo karibu yako kabla hujaanza kutafuta mbali.Kinakuonesha machimbo ya kariakoo na number zake.Namna ya kutambua mahitaji ya soko na kuchimba fursa zilizojificha kwenye mazingira yako.Utajifunza jinsi ya kuchagua wazo lenye faida.Hiki kitabu ni ramani ya mtu anayetaka kuona fursa, kuzitumia, na kujenga kipato cha kudumu.

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP

Secured by Snippe