Joel Nanauka

Joel Nanauka

Pay

TSh 0

eBooks

Jinsi ya Kununua

  1. Chagua kitabu/bidhaa.
  2. Bofya (+) kukiongeza.
  3. Chagua njia ya malipo.
  4. Kamilisha malipo.
  5. Pokea ebook yako kupitia WhatsApp na Email.

Ukikwama Piga : +255 762 312 117

[M

[MPYA] Mume Wangu Hanisapoti, Mbinu Za Kumaliza Kilioc Cha Mwanamke Mwenye Hatima Kubwa Aliyeko Ndani Ya Ndoa

TSh 1,000·Available
Makosa 4 ambayo wanawake wenye UWEZO mkubwa hufanya wanapokuwa ndani ya NDOA bila kujua athari zake - #7. Changamoto za kuishi na mwanaume ASIYEJIAMINI na mbinu za kujenga mahusiano yenye heshima na ushirikiano - #29. Mambo 4 muhimu ya kuzingatia ili kuupata MOYO wa mwanaume, kuongeza maelewano na kupata msaada wake katika kujenga ndoa yenye upendo, amani na mafanikio ya kudumu - #41.
[M

[MPYA] MTAJI, Mbinu Rahisi Za Kupata Mtaji Wa Biashara

TSh 1,000·Available
Mambo muhimu ya kujua yatakayokurahisishia kupata MTAJI wa kuanzisha au kukuza biashara yako - #6. Aina 5 za MTAJI zinazotumiwa na wafanyabiashara wengi waliofanikiwa; huenda ukawa unapuuza iliyo karibu zaidi na wewe - #16. Mbinu 10 zilizothibitishwa za kupata MTAJI wa biashara bila kusubiri bahati; baadhi yake zinaweza kukufungulia fursa kubwa kuliko unavyofikiria - #26.
[N

[MPYA] NAWEZAJE: Jinsi Ya Kupata Mabadiliko Ya Kiuchumi Mwaka Huu

TSh 1,000·Available
Vikwazo 4 vinavyowazuia watu wengi kupata MATOKEO makubwa kila mwaka; ukivishinda utaanza kuona mabadiliko ya kweli - #5. Maeneo 4 muhimu yatakayokupa MATOKEO makubwa mwaka huu bila kupoteza nguvu kwenye mambo yasiyo na tija - #24. Mambo 5 ya kuepuka ili usikwame KIUCHUMI mwaka huu; makosa haya yamewafanya wengi wabaki sehemu moja licha ya kufanya kazi kwa bidii - #46.
[M

[MPYA] Maisha Baada Ya Kuachana

TSh 1,000·Available
Sababu 6 kubwa zinazoleta MAUMIVU makali baada ya kuachana na kwa nini baadhi ya watu hushindwa kupona kwa muda mrefu - #6. Hatua 5 ambazo lazima uzipitie baada ya KUACHANA ili upone na kuanza ukurasa mpya wa maisha - #18. Mambo 7 muhimu ya kuepuka baada ya kuachana; kuyafanya kunaweza kuongeza maumivu na kukurudisha nyuma - #36. Mambo 10 muhimu ya kujifunza baada ya kuachana ili ugeuze maumivu kuwa HEKIMA, ujenge mahusiano bora zaidi na usirudie makosa yaliyopita - #50.
JY

Jinsi Ya Kusimamia Na Kukuza Biashara Yako

TSh 1,000·Available
Vitu muhimu vya kufahamu kabla ya BIASHARA yako haijaanza kukua ili usikwame njiani - #1. Jinsi ya kupata FEDHA za kukuza biashara na kuongeza kasi ya ukuaji wake - #19. Aina ya BIASHARA zinazofanikiwa kwa muda mrefu na makosa 4 yanayoua biashara nyingi - #34 & #52. Jinsi ya kutengeneza MFUMO utakaokuza biashara yako haraka na mambo yanayodumaza ukuaji wake - #67 & #89.
MZ

Mbinu Za Kujenga Ujasiri na Kujiamini

TSh 1,000·Available
Jinsi ya kujenga KUJIAMINI kutakakokusaidia kusimama imara katika kila hatua ya maisha - #6. Hatua muhimu za kujenga UJASIRI wa kudumu ambazo zinaweza kubadilisha maisha yako kabisa - #18. Jinsi ya kupata MATOKEO makubwa hata katikati ya hofu; mbinu ya siri inayotumiwa na watu waliofanikiwa sana - #19. Jinsi ya KUSHINDA HOFU inayoua ndoto, uwezo na ujasiri wako kabla haijakuzuia kufikia mafanikio - #20.
MY

Maumivu Ya Moyo

TSh 1,000·Available
Maumivu ya MOYO yalivyoharibu maisha ya watu wengi; madhara 5 makubwa yanayoweza kukupata usipochukua hatua mapema - #1. Aina 5 za maumivu hatari yanayoweza kuharibu HATIMA yako; aina ya 4 huwasumbua watu wengi kuliko wanavyodhani - #14. Dalili 7 zinazoonyesha bado hujapona maumivu ya moyo; dalili ya 3 usipoitambua inaweza kukuingiza kwenye matatizo makubwa - #27. Faida 5 zilizojificha ndani ya MAUMIVU ambazo watu wengi huzikosa - #39.
MJ

MARAFIKI Jinsi Ya Kutengeneza Mtandao Wa Marafiki Utakaokusaidia Kutimiza Malengo Yako Kwa Kasi

TSh 1,000·Available
NGUVU iliyojificha nyuma ya MARAFIKI unaozungukwa nao; walioielewa mapema walibadilisha maisha yao kabisa - #3. Aina 3 za marafiki wanaoua NDOTO zako kimya kimya; wajue na uwaepuke kabla hawajakugharimu - #14. Marafiki **MIZIGO** wanaokurudisha nyuma bila wewe kutambua - #20. Aina 5 za marafiki unaowahitaji ili kufanikiwa; siri ambayo watu wengi waliofanikiwa waliigundua mapema - #27. Marafiki ambao hupaswi KUWAPOTEZA kwa sababu thamani yao ni kubwa kuliko fedha - #34.
IN

Ishi Ndoto Yako

TSh 1,000·Available
Jinsi ya kuhakikisha CHANGAMOTO hazizuii NDOTO yako kutimia - #4. Ufanye nini kama uliijaribu NDOTO yako ikafeli ili urudi kwa nguvu zaidi - #14. Njia bora ya kutumia FEDHA zako kuharakisha mafanikio ya ndoto yako - #24. Hatua 3 kuu za kuanza kazi inayolingana na NDOTO yako na kung'aa haraka - #27 & #33. Jinsi ya kumtambua aina ya BOSI uliyenaye ili asiwe kikwazo cha mafanikio yako - #40.
MN

Mwanamke Na Uongozi

TSh 1,000·Available
Changamoto 2 kubwa ambazo kila MWANAMKE aliye kwenye UONGOZI anatakiwa kuzishinda ili afikie nafasi za juu - #4. Kwa nini UJUZI, akili na utaalamu pekee havitoshi kukufanya upande zaidi? - #13. Mbinu za kufanya UWEZO wako uonekane na kuongeza ushawishi wako kama kiongozi - #23. Nguvu 6 zinazowatofautisha viongozi wanaofanikiwa na wanaoshindwa - #32. Mbinu za kuwasilisha HOJA kwa ushawishi, kufanya watu wakusikilize na kukumbuka ujumbe wako - #44 & #67.
H6

Hatua 6 Za Kujiajiri

TSh 1,000·Available
Mambo 3 muhimu ya kuzingatia kabla ya kuamua KUJIAJIRI ili usianze kwa makosa yatakayokugharimu baadaye - #3. Sababu 7 kubwa zinazowafanya watu wengi watake KUJIAJIRI; yako ni ipi? - #13. Njia 5 zilizothibitishwa za kujiajiri na kuanza kujenga kipato chako mwenyewe - #37. Maeneo 4 ya kutengeneza PESA kwa haraka unapoanza kujiajiri - #59. JIAJIRI Blueprint: mfumo wa hatua kwa hatua utakaokusaidia kujenga biashara imara na kufikia uhuru wa kifedha - #90.
IB

Imevuja, Barua Ya Siri Kwa Kiongozi Wangu

TSh 1,000·Available
Aina ya VIONGOZI ambao kizazi kipya cha Tanzania kinawahitaji kwa sasa - #1. Anachopaswa kufanya kiongozi wakati wa CRISIS ili kuleta utulivu na kuongoza kwa ujasiri - #9. Mbinu za kuwasilisha HOJA kwa ushawishi mkubwa na kuwavuta watu waunge mkono maono yako - #18. Nguvu 6 zinazowatofautisha viongozi wanaofanikiwa na wanaoshindwa - #29. Majukumu 5 yaliyojificha kwenye vyama vya siasa - #48. Kwa nini **Demographic Dividend** ndiyo mtaji mkubwa wa Tanzania - #59.
PM

Pigania Maono Yako

TSh 1,000·Available
Maono yako ndiyo yatakayoamua MAISHA yako ya baadaye; siku ya mwisho wa maisha yako utajivunia au utajutia uliyoyafanya? - #5. Faida kubwa za kuyaishi MAONO yako na kwa nini watu wenye maono huishi maisha yenye mwelekeo na matokeo makubwa - #14. Hatua 4 ambazo kila MAONO hupitia kabla hayajatimia; ukielewa hatua hizi hutakata tamaa njiani - #19. Namna ya kuongeza KASI ya maono yako kutimia kwa kutumia kanuni zinazotumiwa na watu wenye mafanikio makubwa duniani - #29.
JY

Jinsi Ya Kuibuka Mshindi Katikati Ya Nyakati Ngumu

TSh 1,000·Available
Makundi mawili yanayotokana na JANGA; je, wewe utakuwa miongoni mwa wanaopoteza au wanaonufaika? - #4. Namna ya kutambua KUSUDI la janga ili usiwe mhanga bali ugeuze changamoto kuwa FURSA ya mafanikio - #9. Miongozo 5 muhimu ya kuhakikisha unapata USHINDI wakati wa majanga; wengi huipuuzia na kujikuta wakipoteza kila kitu - #22. Namna sahihi ya kupambana na JANGA kama KIONGOZI na kufanya maamuzi yatakayolinda watu unaowaongoza huku ukijenga matumaini na mwelekeo mpya - #33.
SY

Sayansi Ya Tabia

TSh 1,000·Available
Sayansi iliyojificha nyuma ya TABIA zako na sababu zinazofanya ziwe na nguvu kuliko unavyofikiria - #3. Kwa nini ni vigumu kuacha tabia usiyoipenda hata kama umeamua mara nyingi? - #14. Hatua 5 zilizothibitishwa za kuacha TABIA zinazokurudisha nyuma na kuanza maisha mapya - #27. Mbinu 5 za kujenga TABIA za mafanikio zitakazobadilisha maisha yako hatua kwa hatua; mbinu hizi ndizo watu wenye mafanikio hutumia kujenga nidhamu, kuongeza matokeo na kufikia malengo yao kwa urahisi zaidi - #38.
UN

Uzalendo Na Ujenzi Wa Nchi

TSh 1,000·Available
Kwanini simulizi ya GIZA la usiku wa manane katikati ya msitu ina ujumbe ambao kila mzalendo anapaswa kuuelewa? - #16. UZALENDO kwa nchi yako ni nini na kwa nini unaanza na wewe mwenyewe? - #21. Sifa muhimu za MZALENDO wa kweli ambazo hutofautisha viongozi na raia wenye maono - #28. Njia 10 rahisi za kuonesha UZALENDO kila siku bila kushika nafasi ya uongozi; baadhi yake zinaweza kuibadilisha jamii na taifa lako kwa vizazi vijavyo - #78.
VY

Vita Ya Mkombozi Wa Familia

TSh 1,000·Available
Aina 5 za MIPAKA zinazoweza kuzuia mafanikio ya familia yako; usipozitambua zinaweza kukutesa kwa miaka mingi - #5. VISA na MIKASA anayopitia mkombozi wa familia ambazo wengi hawazungumzii - #21. Njia 4 ambazo Mungu humuinua MKOMBOZI wa familia; njia ya 4 ni ya kipekee sana - #33. Vita 5 vikubwa ambavyo kila mkombozi wa familia lazima avishinde - #40. Mambo muhimu ya kufanya ili UIKOMBOE familia yako na kuacha urithi wa mafanikio ya kudumu - #56.
M8

Mbinu 8 Za Maandalizi Ya Kufaulu Mitihani Kwa Kiwango Cha Juu

TSh 1,000·Available
Njia rahisi zaidi ya kupanga MKAKATI wa kusoma utakaokupa matokeo bora kwenye mitihani - #5. Jinsi ya kuandaa vifaa muhimu kabla ya kuanza kusoma ili usipoteze muda - #10. Formula ya siri ya kurudia kusoma na kukumbuka kwa muda mrefu - #13. Kwanini usingizi sahihi unaweza kuongeza nafasi yako ya KUFAULU - #17. Jinsi ya kupima uwezo wako kabla ya mtihani - #19. Nguvu ya makundi ya kujadiliana katika kuongeza ufaulu - #22.
MZ

Mbinu Za Kupandishwa Cheo Na KUONGEZWA MSHAHARA Haraka

TSh 1,000·Available
Kanuni 3 kubwa zitakazokufanya uwe wa KIPEKEE kazini na kuongeza thamani yako - #1. Vyanzo 6 vya STRESS maeneo ya kazi na jinsi ya kuvishinda kabla havijaathiri utendaji wako - #12. Aina 6 za mabosi wakorofi na mbinu za kukabiliana nao kwa hekima - #37. Aina 5 za watu maeneo ya kazi wanaoweza kukukwamisha - #59. Wezi 5 wanaokuibia MUDA kila siku - #76. Namna rahisi ya kuendesha vikao vyenye UFANISI - #93. Mambo 6 hatari ya kuepuka ukiwa kazini - #105.
MZ

MBINU ZA KUUZA ZAIDI

TSh 1,000·Available
Makosa 7 yanayowakosesha wafanyabiashara WATEJA na jinsi ya kuyaepuka - #20. Hatua 7 za kupata wateja wengi kwa kutumia Effective Sales Process - #33. Mbinu 5 za kuweka BEI sahihi itakayoongeza mauzo - #54. Njia 8 za kumshawishi mteja anunue kupitia bei yako - #66. Formula ya siri ya kumfanya mteja aseme NDIYO - #86. Mbinu 9 bora za kujitangaza na kuvuta ATTENTION kirahisi - #98. Mbinu za kushinda Sales Objections na Closing Techniques - #117 & #130.
NY

Namna Ya KUONDOKANA Na MADENI

TSh 1,000·Available
Dalili 4 kubwa zinazokuzuia kutoka kwenye MADENI; dalili ya 3 huwasababishia wengi STRESS kubwa - #9. Nguvu ya kutathmini hali yako ya MADENI, 50% ya ushindi inaanzia hapa - #14. Jinsi ya kuweka vipaumbele vya kulipa madeni bila kukosea - #17. Mambo 3 ya kuzungumza na wanaokudai ili ulipie madeni haraka - #21. Maeneo 3 ya kubadili ili utoke kwenye madeni - #27. Maswali 7 kabla ya kukopa tena - #33. Vifungo 6 vya kuepuka ili usiwe na madeni yasiyoisha - #40. Epuka makosa yanayorudisha madeni.
MY

MAFANIKIO YA KIFEDHA KWA WANANDOA

TSh 1,000·Available
Nafasi ya PESA kwenye ndoa: maswali 4 muhimu ambayo kila wanandoa wanapaswa kujiuliza kabla hawajachelewa - #5. Aina 7 za wanandoa kwenye suala la PESA; je, ndoa yako ipo kundi gani? (Aina ya 4 huwaacha watoto wakihangaika baada ya wazazi kufariki) - #12. Maeneo 10 makubwa yanayoanzisha MIGOGORO kwenye ndoa; eneo la 6 linaweza kuivunja kabisa - #27. Mbinu 5 za kuondoa migogoro ya PESA kwenye ndoa, na mbinu ya 5 itakusaidia kuishi kwa AMANI na ndugu zenu - #40.
JY

Jinsi Ya KUSIMAMIA Na KUKUZA BIASHARA

TSh 3,000·Available
Ukiisoma Mpaka Mwisho eBook Hii Utajifunza:1. Vitu Muhimu Vya Kufahamu KABLA Biashara Yako Haijakua. - Ukurasa wa 012. Aina Ya Biashara INAYOFANIKIWA - Ukurasa wa 343. Jinsi Ya Kutengeneza MFUMO Utakaokuza Biashara Yako Haraka. - Ukurasa wa 674. Mambo YANAYODUMAZA Biashara - Ukurasa wa 895. Unachotakiwa Kufanya BAADA Ya Kufeli Kwenye Biashara - Ukurasa wa 1026. Aina 5 Za REKODI Muhimu Zitakazokusaidia Kukuza Biashara Yako. - Ukurasa wa 148
KM

Kuyaishi Maono Yako

TSh 1,000·Available
Jinsi ya KUYAPATA MAONO yako na kugundua mwelekeo halisi wa maisha yako - #5. Namna ya KUJIANDAA kuyatimiza maono yako kwa kujenga msingi imara wa mafanikio - #13. Namna ya KUUNGANISHWA na watu muhimu watakaoharakisha safari ya ndoto zako na kukufungulia fursa kubwa - #20. Siri ya kujenga UTAMBULISHO wa kimkakati utakaokufanya uaminike, uonekane na kuvutia fursa ambazo watu wengi huzikosa bila kujua - #36.
KW

Kiongozi Wa Tofauti

TSh 1,000·Available
WITO wa UONGOZI: viwango 5 ambavyo viongozi wengi hawavijui lakini ndivyo vinavyowatofautisha viongozi wa kawaida na wa kipekee - #5. SIFA na TABIA za kiongozi; maeneo 10 muhimu ya kujenga uwezo wako wa kuongoza kwa ufanisi - #16. GHARAMA na changamoto za kuwa KIONGOZI; zijue kabla hujaamua kuongoza ili usije ukajutia - #42. Aina 7 za WAFUASI na tabia zao; usipoitambua aina ya 6 unaweza kupoteza ushawishi wako - #53.
[K

[MPYA] Kabla Ya Kustaafu, Mambo Muhimu Ya Kufanya ili uwe na Maisha Ya Furaha Baada Ya Kutoka Kwenye Ajira

TSh 1,000·Available
Zingatia mambo haya ili usiteseke baada ya KUSTAAFU na uanze kujiandaa mapema - #6. Fikra 7 hatari zinazowaingiza wastaafu wengi kwenye matatizo ya kifedha na kihisia - #24. Awamu 4 kubwa utakazopitia baada ya kustaafu na jinsi ya kuzikabili kwa mafanikio - #42. Maswali 7 muhimu ambayo lazima ujijibu kabla hujastaafu ili kuepuka majuto - #66. Mambo 3 ya kuzingatia kujenga UHURU WA KIFEDHA kabla na baada ya kustaafu - #93.
NY

NGUVU YA MWANAMKE

TSh 1,000·Available
Nguvu 6 za MWANAMKE ambazo zinaweza kubadilisha maisha yako; wanaume walioielewa nguvu ya 2 wamefanikiwa sana - #5. Jinsi ya kushinda vikwazo 7 vinavyowazuia wanawake wengi kusonga mbele; kikwazo cha 3 kimewafelisha wengi - #56. Njia 5 za kuwa MWANAMKE wa tofauti; njia ya 2 inaweza kubadilisha maisha yako - #90. Mbinu 3 za kufanikiwa KIBIASHARA ambazo wanawake wengi huzipuuzia - #129. Namna ya kupona maumivu ya KIHISIA na kulinda hisia zako; si unavyodhani - #149.
SJ

STRATEGY: Jinsi Ya Kupata Matokeo Makubwa Ndani Ya Mwaka Mmoja

TSh 1,000·Available
Sababu 5 zinazowafanya watu wengi WASIPATE MATOKEO kila mwaka; sababu ya 3 imewagharimu mamilioni ya watu bila wao kujua - #2. Njia 3 rahisi za kujenga TABIA mpya zinazobadilisha maisha kwa kasi - #20. Hatua 6 kubwa za kujenga UJUZI utakaokupa matokeo ndani ya mwaka mmoja; hatua ya 5 imebadilisha maisha ya wengi kabisa - #33. Namna ya kujenga MTANDAO wenye fursa na ushawishi mkubwa; siri ambayo 1% pekee ya watu huielewa na kuitumia kupata mafanikio makubwa - #43.
CG

CORE GENIUS: Jinsi Ya Kugundua Na Kuutumia Uwezo Wako Wa Kipekee

TSh 1,000·Available
Kila mtu ana "GENIUS" ya kipekee; je, umeshagundua eneo ambalo unaweza kung'ara kuliko wengine? - #4. Kuna aina ngapi za "CORE GENIUS" na ni vigezo gani vitakavyokusaidia kuitambua ya kwako kwa usahihi? - #17. ZIJUE aina 8 za "CORE GENIUS" zinazoweza kubadilisha kazi, biashara na maisha yako; huenda ukawa umetumia miaka mingi kwenye eneo lisilo sahihi bila kujua uwezo wako halisi - #22. Gundua kipaji chako kabla hujachelewa na ujifunze namna ya kuongeza mafanikio na kufanya maamuzi sahihi sasa.
S1

Siri 12 Wanazotumia Wanafunzi Bora Ndani Ya Chumba Cha Mitihani

TSh 1,000·Available
Sababu zinazowafanya wanafunzi wengi kupata WOGA mkubwa wanapokaribia mitihani na mbinu za kuushinda kabla haujakuzuia kufaulu - #7. Mambo muhimu ya kuzingatia ukiwa ndani ya CHUMBA CHA MTIHANI ili kuepuka makosa yanayowagharimu wanafunzi wengi alama zao - #31. Gundua mbinu rahisi za kuongeza utulivu, kujiamini na kutumia muda wako vizuri wakati wa mtihani ili ujibu maswali kwa ufanisi zaidi na kuongeza nafasi yako ya kupata matokeo bora unayoyatarajia.
JY

Jinsi Ya Kukabiliana Na Stress

TSh 1,000·Available
Ufahamu sahihi kuhusu STRESS ambao watu wengi hawajawahi kufundishwa - #1. Vyanzo vikuu vya STRESS vinavyoweza kuathiri afya, kazi na mahusiano yako bila kutambua - #8. Dalili za mtu mwenye stress ambazo hupuuzwa hadi hali inapokuwa mbaya - #24. Mambo muhimu ya kuepuka unapokuwa na stress ili ubaki salama - #36. Mbinu bora za kupambana na STRESS na kurejesha utulivu wa maisha yako - #44. Fungua ukurasa mpya wa maisha na uanze kuishi kwa amani, matumaini na furaha tena - #57.
M1

Mifumo 10 Inayotengeneza Watu Wakuu Wanaotawala

TSh 10,000·Available
Mifumo 10 inayowajenga watu wakuu wanaotawala na kuacha URITHI wa kudumu - #1. Mfumo wa KIROHO wa kujenga ukaribu na Mungu na nguvu za ndani - #1. Mfumo wa AFYA unaolinda ndoto zako - #9. Mfumo wa KUJIENDELEZA kimaarifa ili akili yako itangulie umri wako - #16. Mfumo wa UWAJIBIKAJI kuongeza ufanisi - #22. Mfumo wa PESA, TAASISI, FAMILIA, MAHUSIANO, KUKUZA WATU na kusambaza ushawishi wako kwa mafanikio ya muda mrefu - #27, #33, #38, #44, #50 & #58.
ST

Suriving The Crisis

TSh 1,000·Available
The TWO GROUPS created by every CRISIS: Which one will you belong to? - #4. Understand the hidden PURPOSE behind every crisis so you stop being a victim and start turning challenges into OPPORTUNITIES - #9. How WINNERS think and act during difficult times: 5 proven guidelines that help you achieve victory in every crisis - #22. How TOP LEADERS respond to crises with confidence, make the right decisions under pressure, and inspire others when it matters most - #35.
NB

Nifanye Biashara Gani?

TSh 1,000·Available
Maeneo 5 makubwa yanayofanikisha BIASHARA na kwa nini wafanyabiashara wengi hushindwa kuyapa kipaumbele - #2. Unataka kuhudumia "Core Human Driver" ipi? Siri ya kuwafanya wateja wanunue kwa urahisi zaidi - #12. Jinsi ya kupata WAZO bora la biashara lenye fursa kubwa ya kukuletea faida - #26. Vigezo 7 muhimu vya kuchagua biashara sahihi; ukikosea kigezo kimoja unaweza kupoteza muda, fedha na nguvu zako zote - #39.
JY

Jinsi Ya Kuishinda Hofu Ya Kuanza

TSh 1,000·Available
Namna ya kuepuka MAJUTO yatakayokurudisha nyuma na kuanza safari ya mafanikio kwa ujasiri - #5. Amua kubadilisha HISTORIA ya maisha yako na kuanza kutimiza ndoto ulizodhani haziwezekani - #13. Tabia 3 zinazowazuia watu wengi kuchukua HATUA na jinsi ya kuzishinda - #22. Gharama ya kujitofautisha ambayo lazima ukubali ili ufanikiwe - #29. Jinsi ya kuishinda HOFU ya kuanza bila kusubiri mazingira yawe kamili - #49.
SY

Saikolojia Ya Mteja

TSh 1,000·Available
Hatua 5 ambazo kila MTEJA hupitia kabla ya kununua; ukipuuzia hatua ya 5 utapoteza wateja wa kudumu - #5. Mambo 9 yanayowasukuma wateja kununua bidhaa au huduma yako; kampuni kubwa hutumia siri ya jambo la 8 kuongeza mauzo - #24. Aina 10 za WATEJA na mbinu za kuwauzia kirahisi; mteja wa aina ya 5 anaweza kuharibu siku yako usipomtambua - #57. Formula ya siri ya kushughulikia MALALAMIKO ya mteja na kumfanya arudi kununua kwako tena na tena - #87.
T1

Tabia 12 Zinazoleta Mafanikio

TSh 1,000·Available
Jinsi ya kufahamu UNACHOTAFUTA maishani na kupata Clarity of Purpose - #1. Namna ya kujenga KUJIAMINI na kuanza na kidogo ulicho nacho - #19 & #38. Umuhimu wa UBORA, kutokughairisha mambo na kujenga UWEZO - #54, #67 & #81. Nguvu ya KUWAJIBIKA, NIDHAMU na kanuni ya 80/20 - #100, #114 & #132. Kwanini usikubali KUKATA TAMAA, kujenga FOCUS na kufanya MAAMUZI bila woga ili kufikia mafanikio makubwa - #144, #162 & #179. Gundua kanuni zinazotumiwa na watu wenye mafanikio kubadilisha maisha kila siku.
L5

Lugha 5 Za Upendo

TSh 1,000·Available
Lugha 5 za UPENDO ambazo kila mtu anatamani uzielewe; ukikosea moja unaweza kuharibu mahusiano yako bila kujua - #6, #10, #13, #16 & #19. Jinsi ya kugundua lugha ya upendo ya mwenzi wako na kumfanya ajisikie wa thamani kila siku - #22. Tofauti muhimu kati ya MWANAMKE na MWANAUME katika mahusiano; namna wanavyochakata taarifa, kukabiliana na hofu, jinsi ubongo wao ulivyounganishwa na namna wanavyoshughulikia changamoto za kila siku - #29, #36 & #42.
MF

MAONO Funguo Tano Unazoweza Kutumia Ili Kuharakisha Maono Yako eBook

TSh 1,000·Available
Usikubali kuondoka duniani kabla hujatimiza MAONO ambayo Mungu ameweka ndani yako - #3. Wewe una MAONO gani na kwa nini kuyafahamu ndiyo hatua ya kwanza kuelekea mafanikio makubwa? - #8. Jitambue wewe ni nani mbele za Mungu na ugundue kusudi la maisha yako - #12. Wekeza kwenye MAARIFA yatakayobadilisha fikra na matokeo yako - #17.
DM

DIRA: Mkakati Wa Kujenga Taifa Lenye Nguvu

TSh 1,000·Available
Jinsi ya kujenga UZALENDO ndani ya mioyo ya watu na kuhamasisha kizazi chenye kuwajibika kwa taifa - #6. Namna ya kutengeneza VIPAUMBELE vya sekta maalumu za uchumi vitakavyoleta maendeleo endelevu - #26. Jinsi ya kujenga TAASISI IMARA zenye uwajibikaji na matokeo yanayopimika - #53. Mbinu za kutengeneza mkakati wa kuwawezesha WANAWAKE kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za uchumi - #69. Jinsi ya kutumia kimkakati ongezeko la VIJANA kama nguvu ya maendeleo ya taifa - #88.
SC

SUCCESS CODES: Ifahamu Mitazamo Inayowasaidia Waliofanikiwa Kuendelea Kupata Ushindi Kila Sikи.

TSh 1,000·Available
Nani ameua NDOTO yako na kwa nini watu wengi hukata tamaa kabla hawajafika mwisho wa safari? - #7. Nguvu ya kutokukata tamaa baada ya KUKATALIWA na mambo ya kuepuka kila asubuhi ili uwe na siku ya mafanikio - #12 & #17. Mbinu za kuonesha THAMANI yako na njia 3 za kutoka kwenye changamoto za kifedha - #22 & #27. Jinsi ya kushinda MAUMIVU, kuepuka makosa ya pesa na kujenga tabia za watu wanaofanikiwa - #32, #37 & #42.
[K

[MPYA] Kabla Ya Kuhitimu Chuo, Mbinu Za Kuwa Tofauti Katikati Ya Wengi Utakaomaliza Nao

TSh 1,000·Available
Mambo 3 muhimu ya kuyatafakari ili uwe TOFAUTI na kujenga maisha yenye mwelekeo - #7. Vita 7 vilivyowashinda vijana wengi wakiwa CHUONI na jinsi ya kuvishinda kabla havijaharibu hatima yako - #23. The Battle of Identity: jinsi ya kujenga utambulisho imara - #25. The Battle of Direction: namna ya kuchagua mwelekeo sahihi wa maisha - #32. The Battle of Character: siri ya kujenga tabia zinazozalisha mafanikio - #38. The Battle of Self-Discipline: nguvu ya nidhamu binafsi - #45.
MF

Money Formula Toleo La 2 eBook by Joel Arthur Nanauka.pdf

TSh 1,000·Available
Jinsi ya kujenga MTAZAMO CHANYA kuhusu fedha unaoweza kubadilisha maisha yako - #1. Kwanini kutumia kanuni iitwayo "DHAHABU" kunaweza kukupeleka kwenye mafanikio ya kifedha - #16. Siri ya kugundua pesa zako HUISHIA wapi kila mwezi - #30. Namna ya kushinda mawazo yasiyo sahihi kuhusu pesa - #39. Sheria 5 za fedha ambazo wengi hupuuza - #51. Makundi 5 ya "Money Personalities"; uko kundi gani? - #64. Hatua 7 za kupata UHURU WA KIFEDHA - #73. Njia 6 za kutengeneza PASSIVE INCOME - #84. Anza leo!
NY

NIDHAMU YA PESA: Mbinu za Kuhakikisha Pesa Unazopata HAZIPOTEI Kwenye Matumizi Usiyoyapanga.

TSh 1,000·Available
Dalili 6 zitakazokuonyesha kuwa hali yako ya KIFEDHA iko kwenye hatari kabla hujapoteza kila kitu - #1. Mbinu 5 za kuhakikisha PESA zako hazipotei na zinaendelea kukujengea usalama wa kifedha - #9. Epuka tabia 7 zinazowafanya watu wengi kupoteza fedha zao bila kutambua; tabia hizi zimeharibu maisha ya kifedha ya wengi - #21. Maswali 5 muhimu ya kujiuliza kabla hujatumia PESA yoyote; ukiyafanya kuwa tabia utaepuka matumizi ya hasara na kujenga utajiri kwa maamuzi sahihi - #37.
MZ

Mbinu Za KUONGEZA KIPATO Chako

TSh 1,000·Available
Sheria 4 kuu za PESA zinazoweza kukusaidia kuongeza fedha zako kwa ufanisi zaidi - #1. Namna ya kuipata PESA kwa wingi baada ya kugundua mahali ilipojificha - #12. Siri ya kupanga BAJETI itakayokusaidia kuishi ndani ya kipato chako - #32. Maeneo 9 makubwa ya kuwekeza ili kuongeza KIPATO chako haraka - #59. Njia 6 kuu za kupata MTAJI wa kuanzisha au kukuza biashara yako bila kukata tamaa - #99. Gundua mbinu zinazotumiwa na watu wenye mafanikio ya kifedha ili kufanya pesa ikufanyie kazi.

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP

Secured by Snippe