Pay
TSh 0
LIFE COACH EBOOKS SHOP
Chagua Ebooks Unazohitaji Hapa Chini, Kisha Kwenye Eneo La Kuweka Namba Ya Simu ni hivi; Namba Ya kwanza Weka Yenye Hela na Namba Ya Pili weka iliyopo WhatsApp (huko utatumiwa ebook/s yako)
ZINGATIA, Andika Namba kwa Uangalifu ili Vitabu Vyako Visiende kwa mtu mwingine..
KARIBU SANA
CCCheat Codes For Hacking Woman Heart
TSh 5,000·Available
Cheat Codes For Hacking Woman Heart
TSh 5,000·Available
Siri Zilizothibitishwa Za Kuuteka Moyo Wa Mwanamke
NYNguvu Ya Maamuzi
TSh 5,000·Available
Nguvu Ya Maamuzi
TSh 5,000·Available
Siri Ya Maisha Kati Ya Kuzaliwa na Kifo imefungwa katikati Ya Maamuzi, Karibu ujifunze Siri za Kuwa Na Nguvu Ya Maamuzi Ili Ubadili Miasha Yako
SHSPIRITUAL HARD TALK
TSh 20,000·Available
SPIRITUAL HARD TALK
TSh 20,000·Available
Mwongozo Rahisi Wa Kujijua Kiroho, Kujua Jinsi Ya Kutumia Nguvu Zako za kiroho, Kujua Uwezo wako Na Udhaifu Wako Ili Kuboresha Maisha Yako
MHMaisha Halisi Ya Single Mama
TSh 3,000·Available
Maisha Halisi Ya Single Mama
TSh 3,000·Available
Jinsi Single Mama Anavyoweza Kuzishinda Changamoto Za Malezi Peke yake na Kujua Aina Za wanaume wa kuwaepuka Ili Asiingie Kwenye Matatizo Zaidi
WYWhy You Attract Wrong Guys
TSh 5,000·Available
Why You Attract Wrong Guys
TSh 5,000·Available
Huwezi kuvutia mwanaume sahihi mpaka ufahamu kwa nini moyo wako uliendelea kuwakaribisha wanaume wasio sahihi.Wakati mwingine unachokiona kama ‘chemistry’ na mwanaume… ni jeraha la zamani la kihisia likitafuta kujirudia.Wanawake wengi hawavutii wanaume wabaya kwa bahati mbaya… wanawavuta kwa psychology ya ndani waliyojijengea bila kujua. Kitabu hiki kitakufungua macho.
STSeduction Tricks
TSh 4,500·Available
Seduction Tricks
TSh 4,500·Available
Mbinu Za Kumvutia Na Kumnasa Mwanaume Unayempenda Bila Kujitongozesha
MSMahusiano Sumu
TSh 2,000·Available
Mahusiano Sumu
TSh 2,000·Available
Viashiria 7 Vya Mahusiano Sumu, Ukiviona Hivi kwenye Mahusiano Yako Usivivumilie
POPsychology Of Loneliness
TSh 2,000·Available
Psychology Of Loneliness
TSh 2,000·Available
“Audio session yenye kufungua siri ya upweke — kwanini unahisi tupu hata ukiwa na watu, na jinsi ya kujenga connection ya kweli na amani ya ndani.”
AVAstrology Voice Sessions
TSh 5,000·Available
Astrology Voice Sessions
TSh 5,000·Available
“Je, umewahi kujiuliza kwanini watu wana tabia tofauti? VOICE SESSIONS hizi za Astrology zinaelezea siri za zodiac signs 12 kwa lugha rahisi na ya kuvutia.Utajifunza tabia za kila nyota, jinsi zinavyoathiri mapenzi, urafiki na maisha kwa ujumla. Ni safari ya kuvutia ya kujitambua na kuwafahamu wengine kwa undani zaidi.”
MYMaumivu Ya Kuachwa
TSh 5,000·Available
Maumivu Ya Kuachwa
TSh 5,000·Available
Jinsi ya Kupona Maumivu ya Kuachwa Na Kumsahau Ex, Soma Leo Usiteseke Tena Urejeshe Furaha Yako.
CPCanva Pro
TSh 5,000·Available
Canva Pro
TSh 5,000·Available
Canva Pro ni toleo la premium la Canva linalokupa uwezo wa kutengeneza graphics za kiwango cha juu kwa urahisi. Linakuwezesha kutumia maelfu ya templates za kitaalamu, picha, video, fonts, na zana za AI ili kubuni matangazo, posters, videos, na content za mitandao ya kijamii kwa ubora wa hali ya juu.
SGSmartphone Graphics Course
TSh 30,000·Available
Smartphone Graphics Course
TSh 30,000·Available
Smartphone Graphic Design Course (Batch 05) ni kozi ya vitendo inayokufundisha kubuni kwa kutumia simu yako tu bila kuhitaji laptop. Utajifunza misingi ya design, saikolojia ya rangi na matumizi ya tools kwa ufanisi.Baada ya mafunzo utaweza kutengeneza poster, business cards na mabango ya matangazo. Kozi ni full online hivyo unaweza kujifunza muda wowote na kuanza kujipatia kipato.
KSKings Session, Manhood Level Up
TSh 10,000·Available
Kings Session, Manhood Level Up
TSh 10,000·Available
"Gundua Siri Ya Kuwa Mwanaume Wa Kweli: Jiponyeshe Kutoka Mauvimu, Acha Punyeto, Jenga Tabia Za Nguvu, Ongeza Kipato, Na Ujue Jinsi Ya Kuwashawishi Wanawake Bila Shida."
BOBASICS OF COPYWRITING
TSh 15,000·Available
BASICS OF COPYWRITING
TSh 15,000·Available
Kuza Biashara Yako Kwa Ujuzi Wa Copywriting
GWGolden Woman Masterclass
TSh 15,000·Available
Golden Woman Masterclass
TSh 15,000·Available
Golden Woman Masterclass ni program inayomsaidia mwanamke kuponya majeraha ya kihisia, kuvunja toxic soul ties, na kuelewa saikolojia ya mwanaume. Ndani yake utajifunza jinsi ya kuheal trauma zinazoharibu mahusiano na kujijenga kuwa mwanamke wa thamani ya juu.Pia utaelewa jinsi ya kujiandaa kwa ndoa yenye afya na kutumia nguvu ya feminine energy kujenga mahusiano imara
OHONLINE HUSTLER
TSh 10,000·Available
ONLINE HUSTLER
TSh 10,000·Available
CFCodes For Winning Mans Heart
TSh 5,000·Available
Codes For Winning Mans Heart
TSh 5,000·Available
Kitabu Maalumu Kwaajili Ya kuwasaidia wanawake kuweza kumuelewa Mwanaume Na kumfanya ampende na Kumjali
AWAstrology Workbook
TSh 5,000·Available
Astrology Workbook
TSh 5,000·Available
“Je, umewahi kujiuliza kwanini watu wana tabia tofauti? Kitabu hiki cha Astrology kinaelezea siri za zodiac signs 12 kwa lugha rahisi na ya kuvutia. Utajifunza tabia za kila nyota, jinsi zinavyoathiri mapenzi, urafiki na maisha kwa ujumla.Ni safari ya kuvutia ya kujitambua na kuwafahamu wengine kwa undani zaidi.”
Supported payment providers
AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP
Secured by Snippe