DUKAHURU BRANDS TANZANIA LIMITED

DUKAHURU BRANDS TANZANIA LIMITED

Pay

TSh 0

DUKAHURU

Shamsi Ramadhani (Dukahuru) ni mjasiriamali na mtaalamu wa branding, marketing, na ukuaji wa biashara, pamoja na mwanzilishi wa Dukahuru Brands Tanzania Limited. Anajikita katika kusaidia biashara na watu binafsi kujenga brand, kuongeza mauzo, na kutumia content na mitandao ya kijamii kama chombo cha ukuaji. Pia ni mentor na mzungumzaji anayefundisha mikakati ya biashara, digital, na personal growth.

NY

NAMNA YA KUTUMIA MITANDAO KIBIASHARA

TSh 15,000·999998 in stock
“Unataka kuanza kutumia Instagram kukuza biashara yako lakini hujui uanze wapi? Mwongozo huu unakupa hatua sahihi za mwanzo ili kujenga msingi imara wa brand yako mtandaoni. Utajifunza maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuanza, kuelewa target market wako, na namna ya kutumia mitandao ya kijamii kimkakati ili kupata wateja na kukuza biashara yako.”
SY

SAIKOLOJIA YA WATEJA NA BEI

TSh 25,000·999998 in stock
SAIKOLOJIA YA WATEJA NA BEIKitabu hiki kinaeleza kwa ufupi na kwa uhalisia jinsi wateja wanavyofanya maamuzi ya kununua na namna bei inavyoathiri mtazamo wao. Kinaonesha kuwa mafanikio ya biashara hayategemei bidhaa pekee, bali uwezo wa kuelewa akili ya mteja na kupanga bei kwa mkakati.Ni mwongozo wa vitendo kwa yeyote anayetaka kuuza zaidi, kujenga thamani ya brand, na kufanya maamuzi sahihi ya biashara.
SY

SIRI YA KUFANYA CUSTOMER SERVICE VIZURI

TSh 15,000·1000000 in stock
“Kitabu hiki kinakufundisha siri halisi za kwanini wateja wanachagua biashara fulani na kuacha nyingine. Utajifunza namna ya kuboresha customer experience, customer service na customer care ili kuongeza mauzo na kujenga wateja wa kudumu. Kama unataka biashara yako ikue na ijitofautishe sokoni, hiki ni kitabu sahihi kwako.”
JM

JINSI MITANDAO INAVYOLIPA

TSh 25,000·99997 in stock
Kitabu Jinsi Mitandao Inavyolipa kinaeleza kwa kina jinsi ya kutumia social media kujenga kipato na brand binafsi. Kinakufundisha jinsi ya kutengeneza content inayovutia, kujenga audience yenye thamani, na kubadilisha attention kuwa fedha.Ni mwongozo wa vitendo kwa mtu yeyote anayetaka kuanza au kukuza biashara kupitia mitandao.

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP

Secured by Snippe