Ai Biashara Tanzania

Ai Biashara Tanzania

Pay

TSh 0

AI BIASHARA TANZANIA

AI Biashara Tanzania

Biashara yako inalala. AI haichoki.

Tunawasaidia wafanyabiashara wa Tanzania kutumia AI kupata wateja, kuwajibu WhatsApp haraka na kuongeza mauzo, kwa Kiswahili rahisi na hatua za vitendo.

Hapa utapata miongozo, prompts tayari kunakili, templates na mipango ya utekelezaji iliyotengenezwa kwa mazingira ya biashara za Tanzania. Hakuna nadharia nyingi, ni kazi unayoweza kuanza leo kwa simu yako.

Utapata nini hapa:

  1. Ebook za vitendo kuhusu kutumia AI kwenye biashara
  2. Prompts za captions, matangazo, WhatsApp na follow-up
  3. Templates na worksheets za kujaza (Business Profile, Persona, Offer, Lead Tracker)
  4. Mipango ya siku 7 na siku 30 ya kutekeleza

Inafaa kwa: wafanyabiashara wadogo na wa kati, wauzaji wa Instagram, WhatsApp, Facebook na TikTok, freelancers na wauzaji wa bidhaa za kidijitali.

Bidhaa yetu kuu: AI Biashara Machine, mwongozo kamili wa modules 12, prompts 60+ na bonus 7. Unaupata kama PDF mara baada ya kulipa.

AB

AI Biashara Machine: Mwongozo wa Kukuza Biashara Yako kwa AI

TSh 9,999·Available
AI Biashara Machine ni mwongozo wa Kiswahili wa kutumia AI kukuza biashara yako mtandaoni. Una modules 12, prompts 60+ za kunakili, templates, mpango wa siku 7 na siku 30, mifumo ya WhatsApp Sales, matangazo na follow-up, pamoja na bonus 7. Kwa wafanyabiashara wanaotaka kupata wateja, kujibu haraka na kuongeza mauzo bila kuchoka. PDF, unaipata mara moja baada ya kulipa.

Payment method

Phone number

Contact Information

Supported payment providers

AMMPHPMXQR
VIMCAXUPAPGP

Secured by Snippe